Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid waomba kuufunga Uwanja wa Santiago Bernabeu

C8b2f5153cba3853dc9931835093cd12.jpeg Real Madrid waomba kuufunga Uwanja wa Santiago Bernabeu

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Real Madrid imeliomba shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA juu ya kufunga roof ya juu ya uwanja wa Santiago Bernabeu siku ya leo kwenye mechi ya UEFA Champions League dhidi ya Manchester City lengo ni kuzuia kelele za mashabiki kusambaa nje ya uwanja na badala yake ziendelee kubaki ndani kuhamasisha wachezaji zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live