Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid wamtupia jicho Musiala

Musiala Jamal Kinda wa Bayern Munich, Jamal Musiala

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Real Madrid inavutiwa na kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich Jamal Musiala na imeonyesha nia ya dhati ya kutaka kumsajili,

Klabu ya Real Madrid inavutiwa na kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich Jamal Musiala na imeonyesha nia ya dhati ya kutaka kumsajili, Iwapo dili hilo litafanikiwa, kikosi hicho kitakuwa na wakali vijana kama Jude, Musiala, Vini, Jr, Rodrygo, Camavinga na Tchoumeni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live