Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid waingia Mkataba wa Bilioni 540

Real Madrid FC XHP Real Madrid waingia Mkataba wa Bilioni 540

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Real Madrid imetangaza kuingia Mkataba na Kampuni ya HP kwaajili ya kutangaza Kampuni hiyo kwenye jezi zao.

Klabu ya Real Madrid imetangaza kuingia Mkataba na Kampuni ya HP kwaajili ya kutangaza Kampuni hiyo kwenye jezi zao. Hii ina maana kwamba jezi ya Real Madrid kupitia matangazo itakuwa inazalisha €200m+ kila mwaka ambapo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 540.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live