Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid waifuata Napoli

Madrid Napo Real Madrid waifuata Napoli

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Real Madrid leo wameianza safari kutoka Hispania kuelekea Italia ambapo wanaenda kwa ajili ya mchezo wao wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) dhidi ya Napoli.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la stadio Diego Armando Maradona huku nchini Italia.

Kesho zitapigwa mechi mbalimbali za hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya #UCL kwenye viunga tofauti tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live