Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid wahamia kwa beki wa Liverpoool

Andy Robertson Real Andy Robertson

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Real Madrid watavutiwa kumsajili Andrew Robertson, kwa nia ya kuimarisha eneo la ulinzi upande wa kushoto na hilo litawezekana ikiwa klabu hiyo haitafuzu kucheza Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Klabu ya Real Madrid watavutiwa kumsajili Andrew Robertson, kwa nia ya kuimarisha eneo la ulinzi upande wa kushoto na hilo litawezekana ikiwa klabu hiyo haitafuzu kucheza Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya. Bei ya mchezaji itakuwa karibu Euro milioni 45 mpaka 50 kulingana na kiwango chake ndani ya Liverpool kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live