Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid wabeba Ubingwa wa Ulaya wakiichapa Dortmund Wembley

IMG 7021.jpeg Mabingwa wapya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid

Sun, 2 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund jana usiku Juni 1, Uwanja wa Wembley Jijini London, Uingereza.

Timu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund jana usiku Juni 1, Uwanja wa Wembley Jijini London, Uingereza. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na beki wa kulia wa Kimataifa wa Hispania, Dani Carvajal Ramos dakika ya 74 na mshambuliaji Mbrazil, Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior dakika ya 83 na hilo linakuwa taji la 15 kwao michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live