Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid na mpango wa kuandaa kizazi kipya

Wade Madrid Real Madrid na mpango wa kuandaa kizazi kipya

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Real Madrid wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Manchester City na Norway Erling Haaland, 22, msimu wa joto kama sehemu ya mpango wa kuleta kizazi kipya cha nyota wachanga katika timu hio.

Nia hio pia inamjumuisha pamoja na kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham, 19. (Independent).

Dhamira hio huenda ikaleta chachu ya mabadiliko ya wachezaji katika kikosi hicho na kupelekea kusalia na nyota wengi walio na umri wa chini zaidi,Real Madrid C.F. ???????????????? on Twitter: "???? ✖️ ???? #CAMPEON35 ???? #36Ligas https://t.co/36pOZm1Ffy" / Twitter.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live