Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Real Madrid moto ule ule La Liga

Real Madrid Socialidad Real Madrid moto ule ule La Liga

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Real Madrid imetoka nyuma 1-0 na kupindua meza kibabe ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa Laliga.

FT: Real Madrid 2-1 Real Sociedad ⚽ Valverde 46' ⚽ Joselu 60'

⚽ Barrenetxea 5'

Real Madrid imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Uhispania ikiwa na alama 15 baada ya mechi 5 ikifunga magoli 10 na kuruhusu matatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live