Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba ya mechi za Simba Desemba

Simba Warejea Nchini, Kituo Kinachofuata Ni Kagera Sugar Ratiba ya mechi za Simba Desemba

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hello Desemba 9, ikiwa ni siku ya kutimiza miaka 62 Uhuru wa Tanganyika. Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Desemba kitaifa na kimataifa namna hii:-

Hello Desemba 9, ikiwa ni siku ya kutimiza miaka 62 Uhuru wa Tanganyika. Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Desemba kitaifa na kimataifa namna hii:- Desemba 09, Wydad v Simba, Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 15, Simba v Kagera Sugar, Ligi Kuu Bara. Desemba 19, SimbĂ  v Wydad, Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 23, KMC v Simba, Ligi Kuu Bara. Desemba 26, Mashujaa v Simba, Ligi Kuu Bara. Desemba 29, Tabora United v Simba, Ligi Kuu Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live