Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba ya Ligi Kuu kuanikwa kesho

Kasongo ZL.jpeg Ratiba ya Ligi Kuu kuanikwa kesho

Tue, 6 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo amesema ratiba ya ligi kuu ipo tayari kwa asilimia 99.9 na wanafikiria kuitangaza kesho.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo amesema ratiba ya ligi kuu ipo tayari kwa asilimia 99.9 na wanafikiria kuitangaza kesho. “Ratiba ipo tayari kwa asilimia 99.9 imani yangu ni kuwa kesho tutaitangaza ratiba ya ligi kuu kwa msimu 2024/25,” amesema Kasongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live