Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu 2024/25

Simba Kibu Ayoub  Pc Simba itashiriki michuano ya CAFCC msimu ujao

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limethibitisha kuwa michuano ya Kombe la Shirikisho CAF Confederations Cup (CAFCC) itakuweo kama kawaida,

Ratiba ya kuanza kwa michuano ya CAF Champions league and Confederations Cup :

Agosti 16-18,2024 - Preliminary round.

Oktoba - December 2024 - Group stage.

Machi - Mei 2025 - Knock out stage.

Dirisha la usajili wa wachezaji CAF (2024)

1 Julai - 20 Julai - Preliminary round.

21 Julai - 31 Agosti - Second round.

1 - 30 Septemba - Group stage.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live