Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Oktoba 31

Oct 31 Ratiba ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Oktoba 31

Sun, 31 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara itaendela leo Oktoba 31 kwa Mchezo mmoja utakaopigwa Jijini Dar es Salaam.

Katika Uwanja wa Mkapa wilayani Temake Wekundu wa Msimbazi Simba S, watawakaribisha Wagosi wa Kaya, Coastal Union kutoka kule mkoani Tanga.

Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbu kumbu ya ushindi wa goli 1-0 walioupata dhidi ya Polisi Tanzania.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live