Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Oktoba 30

Ratiba Octoba 30 Ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya NBC Oktoba 30

Sat, 30 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea leo Oktoba 30 ndani Jiji la Dar es Salaam ambapo kutapigwa michezo miwili.

Katika mchezo wa mapema majira ya saa 10:00 jioni timu ya Mtibwa Sugar itawakaribisha Dodoma Jiji katika uwanja wa Uhuru.

Na itakapofika saa 1:00 usiku kutakua na mpambano unaosubiriwa kwa hamu kati ya vigogo wawili Yanga dhidi ya Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live