Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Oktoba 24

Ratiba NBC mechi za leo Oktoba 24

Sun, 24 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) inaendelea leo Oktoba 24 kwa michezo miwili.

Katika Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani, Ruvu Shooting wataikaribisha Polisi Tanzania majira ya saa 10:00 jioni.

Mchezo mwingine ni kule katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma ambapo wenyeji Dodoma Jiji wataikaribisha timu ya maafande wa Tanzania Prisons.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 usikubaada ya ukarabati wa uwanja na kufungwa taa, zinazoruhusu michezo kuchezwa usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live