Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Novemba 30

Ratiba Ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya NBC Novemba 30

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/2022 itaendelea leo kwa mechi tatu ambapo timu zitaumana kwa dakika 90.

Kule katika Mkoa wa Mara Biashara United watawakaribisha maafande wa Polisi Tanzania majira ya saa 10:00 jioni.

Kule Jijini Mbeya katika uwanja wa Kumbu Kumbu ya Sokoine, Vinara wa Ligi Yanga watavaana na Mbeya Kwanza majira ya Saa 10:00

Mchezo wa mwisho siku ya leo ni pale Chamazi Complex ambapo wana lamba lamba Azam FCwatawakaribisha Mtibwa Sugar mchezo utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku

Chanzo: www.tanzaniaweb.live