Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Novemba 27

NBC Nove Ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya NBC Novemba 27

Sat, 27 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022(NBC Primia Ligi) inaendelea leo Novemba 27 kwa michezo miwili.

Michezo hiyo ya mzunguko wa saba, Mbeya City watawakaribisha watoza ushuru wa manispaa ya Kinondoni katiak Uwanja wa Kumbu Kumbu ya Sokoine mkoani Mbeya majira ya saa 10:00 jioni.

Katika mchezo wa Pili ambao nao utachezwa majira ya saa 10:00 jioni Tanzania Prisons wataikaribisha Namungo FC katika Uwanja wa Nelson Mandela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live