Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Novemba 20

FEno3hTXwAI34Ms Ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya NBC Novemba 20

Sat, 20 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya Tanzania Bara, imerudi tena baada ya kupisha kalenda ya FIFA kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.

Leo Novemba 20, kutapigwa michezo mitatu katika viwanja vitatu tofauti, lakini mchezo wenye kuvuta hisia za wengi ni ule wa kule mkoani Lindi ambapo Namungo wataikaribisha timu ya Wananchi Dar Young Africans.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live