Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Disemba 5

NBC Des Ratiba ya mechi za Ligi Kuu NBC Disemba 5

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/2022 inaingia hatua ya mzunguka wa nane wiki hii.

Leo Disemba 5, kutapigwa mechi mbili ambapo kule katika uwanja wa Chamazi Complex Azam wataikaribisha Geita Gold majira ya saa 10:00 jioni.

Wakati katika uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga, wenyeji Coastal Union wataikaribisha Mbeya Kwanza majira ya saa 10:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live