Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Mechi Ligi Kuu ya NBC Disemba 12

Nbc Disemba 12 Ratiba ya mechi za Ligi Kuu NBC Disemba 12

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/2022 (NBC Primia Ligi) inaendelea leo kwa michezo miwili.

Vibonde katika Ligi hiyo timu ya Mtibwa Sugar itakuwa kule Manungu Mkoani Morogoro kuwakaribisha wanajeshi wa Mpakani, Timu ya Biashara United majira ya saa 10:00 jioni.

Mchezo wa Pili ni Matajiri wa Jiji Azam FC ambao watakua nyumbani Kule Azam Complex kuwakaribisha Kagera Sugar majira ya saa 1:00 usiku

Tazama hapa chini ratiba ya michezo ya leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live