Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba: Ligi ya Mabingwa Ulaya Oktoba 19

UEFA CHAMPIONS LEAGUE.png Ratiba ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Tue, 19 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni usiku wa Ulaya, ambapo vilabu kadhaa vitashuka dimbani kusaka alama tatu katika michezo ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League).

Wababe kutoka England klabu ya Liverpool, watasafiri mpaka kule nchini Hispania kwenda kupepetana na vijana wa Diego Simeone, Atletico Madrid.

Wakati Manchester City watakuwa wageni wa Club Brugge, wababe kutoka Ufaransa klabu ya PSG watavaana na Leipzig pale Parc de Princes.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live