Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmus Hojlund kibaruani leo

Rasmus Hojlund Straika wa Man United, Rasmus Hojlund

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmus Hojlund ana magoli 3 tu tangu ajiunge na Manchester United tena katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.

Wakina Bruno,Rushford,Garnacho,Mount na wengineo hawatengenezi nafasi za kutosha kwa Hojlund kufunga.

Leo anarudi nyumbani kwao Denmark kucheza za klabu ya Copenhagen.

Je ataweka wavuni?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live