Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Yanga Yamtema Kabwili

Ramadhan Kabwili Yanga Rasmi: Yanga Yamtema Kabwili

Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa namba mbili wa Yanga, Ramadhani Kabwili ameachwa rasmi na klabu ya Yanga.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa juzi Desemba 19, 2021, Kabwili alipewa barua ya kwaheri na Yanga na kumtakia kila la kheri hivyo sasa yupo huru kujiunga na timu nyingine yoyote.

Uongozi wa klabu ya Yanga unatekeleza ripoti ya kocha Nabi ambaye ameutaka uongozi kusajili wachezaji 5 wa nguvu na sasa wameanza mpango wa kumsajili Mohamed Makaka wa Ruvu Shooting kuchukua nafasi ya Kabwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live