Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Wenger atua Bongo, safari kwa Mkapa (+Video)

Wenger Atua Bongo Kocha wa Zaman wa Arsenal, Arsene Wenger akipokelewa Uwanja wa ndege

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African Football League kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.

Tazama Video ya Wenger hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live