Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Simba yamtambulisha Joshua Mutale

Mutale Mnyama Rasmi: Simba yamtambulisha Joshua Mutale

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha rasmi winga wa kimataifa wa Zambia, Joshua Mutale baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi.

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha rasmi winga wa kimataifa wa Zambia, Joshua Mutale baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi. Joshua amejiunga na Simba kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Power Dynamos ya Zambia na atavaa jezi namba 10 mgongoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live