Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Shekhan ni Mwananchi

Shekhan A0011 Rasmi: Shekhan ni Mwananchi

Sat, 16 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klaby ya Yanga imekamilisha usajili na kumtambulisha rasmi kiungo wa boli, Shekhan Ibrahim Hamis kutoka JKU ya Zanzibar.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, amepewa mkataba wa miaka mitatu kuwenda kuongeza nguvu katika kikosi Wananchi.

Huo ni usajili wa kwanza kwa Yanga SC katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live