Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Saido atua Geita Gold

Saido Ntibazonkiza Said Ntibazonkiza 'Saido'

Thu, 1 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Geita Gold imethibitisha kunasa saini ya aliyekuwa Kiungo wa Yanga SC, Said Ntibazonkiza 'Saido' kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Saido anajiunga na Geita Gold akiwa mchezaji huru baada ya kutemwa na Yanga mwishoni mwa msimu uliopita kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu.

“Godfather wa Bujumbura anakuja kuongeza nguvu katika idara ya ushambuliaji”

imesema taarifa ya Geita Gold.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live