Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Morisson afanyiwa Upasuaji

Morisson Upasuaji Morocco Rasmi: Morisson afanyiwa Upasuaji

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya As Far Rabbat ya Morocco, Bernard Morisson tayari amefanyiwa upasuaji wa goti lake baada ya kupata majeraha wiki kadhaa zilizopita.

Bado haijafahamika kwa haraka atakaa nje kwa muda gani kutoka na kuuguza Jeraha hilo.

Bernard Morisson aliwahi kupita katika vilabu vya Simba na Yanga na kubeba vikombe kadhaa.

Una neno gani la kumpa Morisson? Tuachie ujumbe wako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live