Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rashford kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu Man United

Manchester United Vs West Ham Marcus Rashford Sends Red Devils 1024x576 Rashford kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu Man United

Sun, 18 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki.

Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki. Anayelipwa kiwango kama hicho ndani ya timu hiyo ni kipa David de Gea ndiye ambaye inadaiwa anaweza kuondoka lakini kama akibaki United inataka kumshusha kimalipo na alipwe Pauni 200,000 (Tsh. Milioni 610) kwa wiki, kiwango ambacho analipwa Rashford kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live