Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rashford apigwa faini kwa Mwendokasi

WhatsApp Image 2023 02 11 At 13.jpeg Marcus Rashford

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amepigwa faini na kupewa pointi za adhabu kwenye leseni yake ya kuendesha gari baada ya kukiri kuendesha kwa kasi Jijini Manchester mwaka jana.

Mnamo Mei 2022 Rashford (25) alikuwa akiendesha gari lake aina ya Mercedes kwa kasi na kuvuka kikomo cha maili 20 kwa saa.

Baada ya kukiri kosa hilo, Mahakama ya Manchester imemchapa faini ya (£574) sawa na zaidi ya Tsh. Milioni 1.6

Chanzo: www.tanzaniaweb.live