Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rashford afikisha mabao 100 Man United

Manchester United Vs West Ham Marcus Rashford Sends Red Devils 1024x576 Rashford afikisha mabao 100 Man United

Mon, 31 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marcus Rashford amekuwa mchezaji wa 22 wa Manchester United kufikisha magoli 100 kama mchezaji wa Mashetani hao Wekundu kwenye michuano yote.

Marcus Rashford amekuwa mchezaji wa 22 wa Manchester United kufikisha magoli 100 kama mchezaji wa Mashetani hao Wekundu kwenye michuano yote. Rashford anakuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester United kufikisha idadi hiyo tangu Wayne Rooney mnamo 2009.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live