Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rashford Mchezaji Bora wa Man United

Rashford.jpeg Rashford Mchezaji Bora wa Man United

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marcus Rashford ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Manchester United baada ya kuifungia klabu hiyo magoli 30 na kusaidia (assists) mengine 11 kwenye michuano yote msimu huu.

Marcus Rashford ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Manchester United baada ya kuifungia klabu hiyo magoli 30 na kusaidia (assists) mengine 11 kwenye michuano yote msimu huu. Rashford ambaye pia ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki (Sir Matt Busby Player of the Year) anakuwa mhitimu wa shule ya vijana (academy) ya klabu hiyo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka tangu 1998.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live