Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raphinha ampiga dongo Gaucho, Mashabiki wamjia juu

Gauvchoooooo Raphinha ampiga dongo Gaucho, Mashabiki wamjia juu

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil Raphinha amemjibu Legend wa Brazil Ronaldinho Gaucho kuwa siku chache zilizopita Legend huyo alimuomba Vinicius tiketi za kuingia uwanjani.

"Ronaldinho amesema hatakuja kuangalia mechi za timu ya Taifa ya Brazil ?, Siku chache zilizopita, alikuwa anamuomba Vinicius Jr tiketi za kutazama michezo ya Brazil."

"Kwa hali yoyote ile, nimeshangazwa na sikubaliani na alivyosema kuwa haoni kujituma na ari kwenye timu."

Baada ya maneno hayo mashabiki wa soka wamemjia juu Raphinha na kumweleza kuwa amekosea hakupaswa kumjibu vile Legend wa soka la Brazil ambaye ana mafanikio kuliko yeye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live