Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raphinha, Ansu Fati kuziba pengo la Salah Liverpool

Ansu Fati Raphinha Barcelona March 2023 1 Raphinha, Ansu Fati kuziba pengo la Salah Liverpool

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kuwasajili winga wa Brazil, Raphinha na mshambuliaji wa Uhispania, Ansu Fati kutoka Barcelona ili kuja kuchukua nafasi ya mshambuliaji wao, Mohamed Salah.

Timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kuwasajili winga wa Brazil, Raphinha na mshambuliaji wa Uhispania, Ansu Fati kutoka Barcelona ili kuja kuchukua nafasi ya mshambuliaji wao, Mohamed Salah. Salah zipo tetesi zinazoeleza kuwa ana mipango ya kwenda kujiunga na ligi ya Saudia hivyo Liverpool wanajiandaa na maisha mapya bila ya yeye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live