Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ranga Chivaviro na fungu la kukosa

Ranga Chivavirojangwani Ranga Chivaviro

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wawili walisajiliwa katika dirisha moja msimu uliopita wakitokea katika klabu moja ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini iliyoshika daraja, wametwaa Ubingwa.

Wakati klab ya Marumo Gallants ikishuka daraja katika ligi kuu ya Afrika kusini kuna Nyota wake 3 walionekana kuwa lulu sokoni na kupata timu kwa haraka zaidi

Skudu Makudubela

Lesiba Nku

Ranga Chivaviro.

Skudu aliamua kwenda Yanga Sc ya Tanzania na @nku_lesiba na akaenda zake Mamelodi Sundowns ya hapo hapo kwao Afrika Kusini.

Siku ya Jana usiku Mamelodi Sundowns wamekabidhiwa kombe lao la ligi kuu licha ya kupokea kichapo cha 0-1 dhidi ya Capetown City ambao wameikatisha UNBEATEN run ya Mamelodi Sundowns ligi kuu iliyodumu msimu nzima katika mechi ya mwisho kwa Msimu huu,

Huku pia usiku pia Young Africans SC walikabidhiwa kombe lao la ligi kuu baada ya kushinda 3-0 dhidi ya Tabora United.

Wakati Ranga Chivaviro yeye alielekea zake Kaizer Chiefs ambako mpaka msimu huu unatamatika hajainua makwapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live