Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ranga Chivaviro haendi kokote

Ranga Chivavirojangwani Ranga Chivaviro haendi kokote

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za Kikachero kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika juu ya uhamisho wa Ranga Chivaviro kutoka Kaizer Chiefs kwenda Young Africans.

Wakala wa Ranga Chivaviro, Herve Tra Bi, amesema kuwa; “Ranga haendi popote kwa sasa. Ana mkataba wa miaka miwili na Kaizer Chiefs. Tunahitaji kuheshimu mkataba wake na Chiefs,” .

Hii ni baada ya tetesi kadhaa kuvuma zikidai kwamba Ranga tayari amekamilisha usajili wa mkopo kujiunga na Wananchi januari 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: