Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramsdale kutimka Arsenal

Aaron Ramdale Ramsdale kutimka Arsenal

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vilabu vya Chelsea na Bayern Munich ni miongoni mwa vilabu vinavyoangalia namna ya kumpata Mlinda lango wa klabu ya Arsenal Aaron Ramsdale.

Vilabu vya Chelsea na Bayern Munich ni miongoni mwa vilabu vinavyoangalia namna ya kumpata Mlinda lango wa klabu ya Arsenal Aaron Ramsdale. Ramsdale hakufurahishwa na kitendo cha Kocha Mikel Arteta kumuweka nje katika mchezo dhidi ya Everton.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live