Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramos aponzwa na VAR

Ramos Red Again Mwamuzi akimuonesha kadi nyekundu Sergio Ramos

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika mchezo kati ya ‘klabu’ Sevilla dhidi ya RealSociedad inadaiwa kuwa mchezaji wa ‘klabu ya Sevilla, #SergioRamos alimuomba muamuzi akaangalie kwenye VAR uwezekano wa kufuta kadi ya pili ya njano lakini akajikuta anaambulia kadi nyekundu.

Inaelezwa kuwa muamuzi alikubali alipoenda kuangalia akaona faulo aliyofanya mchezaji huyo aliporudi akaifuta kadi ya njano akampa nyekundu ya moja kwa moja.

Mechi hiyo ilichezwa siku ya Jumanne ilimalizika kwa bao 2-1 ambapo ‘timu’ ya Real Sociedad iliibuka na ushindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live