Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramos aondoka Sevilla, anakwenda wapi?

Sergio Ramos Sevilla 1040x572 Mlinzi wa Sevilla Sergio Ramos

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Sevilla imethibitisha beki wake Sergio Ramos ameondoka baada ya kudumu kwa msimu mmoja na sasa ni mchezaji huru.

Klabu ya Sevilla imethibitisha beki wake Sergio Ramos ameondoka baada ya kudumu kwa msimu mmoja na sasa ni mchezaji huru. Ramos alijiunga na Klabu ya Sevilla msimu uliopita akitokea kwa matajiri wa Ufaransa PSG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live