Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramadhani Kayoko kuamua dabi ya Kariakoo

Kayokozz Ramadhani Kayoko kuamua dabi ya Kariakoo

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa derby ya kariakoo ambapo vigogo Simba na Yanga wanaenda kukutana siku ya Jumamosi ya tarehe 20.

Waamuzi wa mchezo huo tayari wameshajulikana na ndiyo watakao tafsiri na kusimamia sheria zote 17 za soka.

Hii hapa ni safu ya waamuzi wa mechi ya Kariakoo Derby

Mwamuzi wa Kati: Ramadhani Kayoko

Line 1: Frank Komba

Line 2: Janneth Balama

Kamisaa: Heri Sasii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live