Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ralf Rangnick aitolea nje Bayern Munich

Skysports Football Ralf Rangnick 5595178 Ralf Rangnick

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Ralf Rangnick amekataa ombi la Bayern na hatokuwa meneja mpya wa Klabu hiyo kwasababu zake kibinafsi.

Kocha Ralf Rangnick amekataa ombi la Bayern na hatokuwa meneja mpya wa Klabu hiyo kwasababu zake kibinafsi. “Mimi ni kocha wa timu ya Austria kwa moyo wangu wote, sio kwamba naikataa Bayern, lakini ni uamuzi kwa timu yangu na malengo yetu ya pamoja,” amesema Rangnick.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live