Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Soka Hispania afungiwa miaka mitatu

Luis Rubiales Akataa Kujiuzulu Kama Rais Wa Shirikisho La Soka Uhispania Rais wa Soka Hispania afungiwa miaka mitatu

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya nidhamu Shirikisho la soka Duniani FIFA imemfungia Rais wa zamani wa shirikisho la soka nchini Hispania Luis Rubiales kujihusisha na soka kwa miaka mitatu (3).

Hii inakuja baada ya tukio alilolifanya la kumpiga busu mchezaji wa timu ya Taifa ya wanawake ya Hispania wakati wa kukabidhiwa ubingwa wa kombe la Dunia mwaka huu.

Tukio hilo lililtokea wakati Kikosi hicho cha Hispania kilipobeba Ubingwa wa Dunia kwa wanawake 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live