Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Shirikisho la Soka Zambia akamatwa kwa ubadhirifu wa fedha

Andrew Kamanga Rais wa Shirikisho la Soka Zambia akamatwa kwa ubadhirifu wa fedha

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa chama cha Soka Zambia Andrew Kamanga amekamatwa huku akikabiliwa na Mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma na utakatishaji fedha.

Rais huyo anatuhumiwa kutumia fedha za Serikali ili kuwawezesha ndugu na rafiki zake, kusafiri kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), nchini Ivory Coast, mwezi Januari, licha ya wawili hao kutokuwa maafisa wa chama cha soka Zambia, FAZ.

Andrew Kamanga anaripotiwa kuwalipia ndugu zake hao wawili kiasi cha K99,000 kama tiketi ya Ndege.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live