Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Raja Casablanca kujiuzulu

Aziz El Badraoui .jpeg Rais wa Raja Casablanca kujiuzulu

Sun, 7 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Raja Club Athletic, Aziz El Badraoui (52) ataachia nafasi yake mwishoni mwa mwezi Mei baada ya kushindwa kufikia malengo ya Klabu kwa msimu wa 2022/23 na kusababisha hasara ya USD Milioni 1.

Rais wa Raja Club Athletic, Aziz El Badraoui (52) ataachia nafasi yake mwishoni mwa mwezi Mei baada ya kushindwa kufikia malengo ya Klabu kwa msimu wa 2022/23 na kusababisha hasara ya USD Milioni 1. Raja haipo kwenye nafasi ya kushinda ubingwa wa Moroccan League msimu huu lakini pia imeondoshwa kwenye mashindano ya CAF CL hatua ya Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live