Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Club Africain na Wajumbe wa Bodi wajiuzulu

Rais Africain Rais wa Club Africain na Wajumbe wa Bodi wajiuzulu

Fri, 11 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Club Africain ya Tunisia na wajumbe wa bodi ya usimamizi ya klabu hiyo kwa pamoja wamejiuzulu nafasi zao baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Yanga SC ya Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live