Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Brazil awataka Wabrazil kumuiga Messi

Lula Da Silva Rais wa Brazil Lula da Silva

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Brazil Lula da Silva amewataka wachezaji wa Brazil kumtumia Leonel Messi kama mfano kwenye maisha yao ya soka baada ya mwanasoka huyo kubeba tuzo ya nane (8) ya Ballon d'Or.

Rais wa Brazil Lula da Silva amewataka wachezaji wa Brazil kumtumia Leonel Messi kama mfano kwenye maisha yao ya soka baada ya mwanasoka huyo kubeba tuzo ya nane (8) ya Ballon d'Or. Lula amewaambia wanapaswa kuwekeza katika mpira, Tuzo ya Ballon d'Or haiji kwa kwenda klabu usiku, ama kwa kuendekeza starehe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live