Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais aliyembusu mchezaji wa kike anukia jela

Rais Aliyembusu Mchezaji Wa Kike Anukia Jela Rais aliyembusu mchezaji wa kike anukia jela

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Hispania Luis Rubiales anaweza kukaa jela endapo kitendo chake cha kum-kiss mdomoni mchezaji wa Timu ya Taifa ya wanawake kikitambuliwa kama ni kosa kisheria za Hispania.

Luis Rubiales amefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka mitatu ndani na nje ya Hispania kutoka na kitendo cha Kumbusu mchezaji wa Timu ya Taifa ya wanawake Jennifer Hermoso baada ya Hispania kushinda ubingwa wa Kombe la dunia la wanawake kwa kuwachapa Uingereza bao 1-0

Luis alisimamishwa kwa kile kilichotafsiliwa kuwa kitendo alichokifanya ni utovu wa nidhani hivyo kwa sasa mahakama nchini Hispania zinajaribu kutafsiri kitendo hiko kama ni kosa kisheria ili kumfikisha mahakamani

Endapo itarasimisha kitendo hiko kama “Busu bila Makubaliano” Luis anaweza kulaa jela kuanzia mwaka 1-4.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live