Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais aliempiga Refa akamatwa na Polisi

Rais Aliempiga Refa Rais wa klabu ya Ankaragücü Faruk Koca amekamatwa na vyombo vya usalama

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa klabu ya Ankaragücü Faruk Koca amekamatwa na vyombo vya usalama nchini Uturuki kufuatia tukio la kumpiga ngumi ya uso mwamuzi usiku wa jana mara baada ya Mchezo baina ya Ankaragücü vs Rivespor kumalizika.

Rais wa klabu ya Ankaragücü Faruk Koca amekamatwa na vyombo vya usalama nchini Uturuki kufuatia tukio la kumpiga ngumi ya uso mwamuzi usiku wa jana mara baada ya Mchezo baina ya Ankaragücü vs Rivespor kumalizika. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live