Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais ZFF afafanua madai ya Timu ya New Generation (+Video)

Rais ZFF Rais wa ZFF, Suleiman Mahmoud Jabir

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Visiwani Zanzibar limekanusha Madai yaliyotolewa na Timu ya Wanawake ya New Generation ya kushindwa kuwasaidia baada ya kukwama njiani kutokana na kuishiwa fedha wakati wakitoka Nchini Uganda kushiriki Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati kwa Timu za Wanawake CECAFA.

Timu ya Wanawake ya New Generation ilisambaza kwenye Mitandao ya Kijamii taarifa iliyotolewa na Nahodha wake, Warda Abdulhakim Mwinyi wakidai kukwama Mkoani Geita kutokana na kudaiwa na Dereva wa Gari ambalo walikuwa wanalitumia kusafiri nalo kutoka Uganda hadi Tanzania.

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live