Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Yanga awanunulia tiketi walemavu wa macho

Yanga Na Wasioona Rais Yanga awanunulia tiketi walemavu wa macho

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Eng Hersi Said, amezindua tawi la Yanga SC, la wanachama wa Yanga wasio ona, Kinondoni jijini Dar Es Salaam, Eng Hersi Said ameahidi kuwanunulia tiketi za mchezo wa CAF Champions League dhidi ya Al Ahly Jumamosi Desemba 2, Benjamin Mkapa.

Rais wa Yanga SC, Eng Hersi Said, amezindua tawi la Yanga SC, la wanachama wa Yanga wasio ona, Kinondoni jijini Dar Es Salaam, Eng Hersi Said ameahidi kuwanunulia tiketi za mchezo wa CAF Champions League dhidi ya Al Ahly Jumamosi Desemba 2, Benjamin Mkapa. "Jumamosi tuna mchezo dhidi ya Al Ahly, yeyote ambaye atapendezwa kuja uwanjani tutawaandalia usafiri mpaka uwanjani, tiketi zenu zitaandaliwa na mratibu wetu wa mashabiki, nitafurahi sana wote mkifika uwanjani." - amesema Rais wa Young Africans Je una neno gani kwa tukio hili walilofanya Yanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: