Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais UEFA abwaga manyanga

Aleksander Ceferin UEFA Rais wa shirikisho la soka Barani Ulaya Eleksander Ceferin

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa shirikisho la soka Barani Ulaya Eleksander Ceferin ametangaza kuwa hatashiriki uchaguzi ujao wa shirikisho hilo kutokana na sababu binafsi za kifamilia.

Eleksander ameweka wazi kuwa ni wakati wa damu changa kuongoza shirikisho hilo na kuleta maono mapya kwa maslahi mapana ya soka la Ulaya.

Maamulizi ya Ceferin unayaonaje?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live